ASHLEY NASSARY - SINA JINA (OFFICIAL MUSIC VIDEO)
HTML-код
- Опубликовано: 10 апр 2025
- Booking:
emgrecordstz@gmail.com
+255789242055
@emgrecords
More Play
MSALABA: • Ashley Nassary - Msala...
SHAMMAH: • Ashley Nassary - Shama...
YESU KILA KITU: • Ashley Nassary - Yesu ...
PUMZI: • Ashley Nassary - Pumzi...
SINA JINA: • Ashley Nassary - Sina ...
MASHANGILIO: • Ashley Nassary - Masha...
USIYESHINDWA: • Ashley Nassary - Usiye...
HALLELUYAH: • Ashley Nassary - Halle...
The official RUclips channel of ASHLEY NASSARY. Subscribe for the latest music videos, performances, and more.
For Bookings & More
Email: emgrecordstz@gmail.com
Call: +255789242055, +255788662333
#AshleyNassary #Usieshindwa #EmgRecords
#EmgRecords #AshleyNassary #Tanzania Видеоклипы
2025, who is here?
Naupenda Sana Wimbo Huu Mungu akuinue sana Mdogo wangu na Muona Yeso ndani yako
amen baba
Zidi kumuombea Sana afikie Mahali Kama YESU alivokuinua Sana Kaka boaz nakukubali Sana na wewe YESU ajitukuze kupitiaaa uimbaji wakoo.... Ukaona lugha yangu haitoshi hahahh jaman
Barikiwa Sana mnanibariki
@@AshleyNassaryOfficial habar wimbo wako umenibariki kk
Wao broo sikiliza nahuu basib ruclips.net/video/LORcUwSD2Ug/видео.html
Mungu awabariki wote wanaosikiliza huu wimbo ukawe baraka katika maisha yetu. Amen
Ameeeeeen
Barikiwa 2025 guy wimbo ni Baraka sana kwangu
Naupenda San huuu wimbo unabarik maisha yangu San namungu akubarik sanaa
Ni YESU ni YESU🙌🙏❤
Huu wimbo nilikuwa napita sehemu nipo kwa gar ukawa unapigwa nje nikashika maneno kama mawil nimetumia kama siku sita kuupata nimefurahi sana leo kuupata barikiwa wimbo mkubwa sana
Yesterday I become very sick and could not eat anything, feeling nausea and dizzy all day. It went on till midnight at 1pm this song came in my spirit and I started singing while hugging my bible. Just saying sina jina lingine I went to a deep sleep and I woke up today feeling very much better and no more dizziness and no more nausea. Kweli sina jina jingine ila jina lako Yesu.
Wimbo bora kupita maelezo barikiwa sana
Listened to it in December 2024 and the devil erased it completely from my memory. Last night after the midnight prayer, the Holy spirit miraculously played this song in my mind and I received healing. Had to search for it on RUclips and have listened to it over six times. Glory to God in the highest.
BABA NISAIDIE YESUUUUUUUU🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻😭😭😭😭😭😭
2019 nilipokua advanced 4m5 ndo mara ya kwanza nilisikia mtu kalimba huu wimbi nkahis ni yeye katunga nkamuulza akanijbu no for sure ulinibariki sana and today 2024 I came here again be blessed 😊
Naupenda san huu wimbo ubarikiwe Sana Mtumishi
MUNGU wa mbinguni akubariki sana kwa wimbo mzuri wa kumtukuza MUNGU,hakika hatuna jina lingine lenye nguvu zaidi ya YESU,,Wengine watataja waganga,wachawi na majina maalufu duniani but no One like JESUS
Leo nimepita kwenye changamoto nimefarijiwa sana na huu wimbo 19/4/2024😢😢😢🙏🙏🙏
Hallelujah hallelujah hallelujah
Nakupenda YESU japo sifat yak yote lakini bado uliniwezesha na ninaimani utaniinua🙏😓
Unajua nachoogopa kukutazama after few years Hautakua hapaa sababu yn Ashley unajia Kua mnyenyekevu, na Lazima Mungu atakia anakufurahia mnooo, so he must Lift You Up, more than higher..I bless ya
2026
You have said it all. I can't wait to see where God is taking His son
Hongera
🔥
Kweli hanna jina jingine dunia na mbunguni . Ni Yesu tu
18/11/2024. Hakika sina jina lingine, ila jina lako Yesu.
Wazee wa dislike huwa siwaelew...wimbo una barik kabsa huu...mtumish, Mungu akutie nguvu uendelee kuifanya kazi Bwana
hahahahaha
Its 5 years, hakuna dislike, God is good
Hakika sina jina jingine ila jina lako Yesu
Katika nyimbo zote za injili au kumuinua Bwana wetu YESU KRISTO hiyi ni number on AMEN Glory to GOD JESUS CHRIST Bless You
Huzuni, hofu mashaka na kukata kwangu tamaa kumeyeyuka ghafla baada ya kusikiliza hii nyimbo!! Jina la Yesu linaishi na lina nguvu ya ajabu sana pia! KristoMfalme aendelee kujitukuza ndani yako mdogo wangu🙏
Hata Mimi umenigusa sana mungu nimwema
Mungu aliyekupa hii mistari yakutubariki azidi kukupa maradufu barikiwa sana ktk huduma yako mungu akuinue ktk viwango vingine
Mungu akubariki. Sana inuka na utangaze makuu ya bwana
Wimbo huu unanikumbusha mengi sana ya mwaka 2021
Ubarikiwe kwa wimbo mzuri! ningepewa nafasi ya kushauri wimbo huu ulipaswa kuwa recorded kwenye ibada ya kusifu na kuabudu iwe kama live vile, ni wimbo uliobeba uwepo mkubwa sana, bado nashauri wimbo huu uwe re-recorded kwenye ibada ya kusifu na kuabudu ninahakika utagusa maisha ya watu wengi sana, utawapeleka watu vilindini kabisa kwenye uwepo wa Mungu
Wazo Zuri aisee. I wish Ashley alione
Ingerekodiwa ibadan ingekuwa nzur zaid.
Ubarikiwe kaka
Ni Yesu ni Yesu.Ubarikiwe Tena na Tena Kwa vipimo vya kujaa na kufurika
Hongera sana Ashley My lord God shower more annointing and blessings upon you
Haleluyaa
Wimbo wangu pendwa
Ni kweli ndilo jina lenye nguvu.
nyimbo ina upako
SIKU MOJA NILILALA NIKAOTA TUPO NA MALAIKA BARABARANI TUNAIMBA WIMBO HUU... UMEJAA UPAKO SANA NA NAUPENDA SANA... KILA NIKIIMBA NAJIKUTA KUBUBUJIKWA
😭😭😭😭Hakuna jina lingine ila ni YESU
Hakika Ni yesu tu😢
Nabarikiwa sana kila nikiusikia huu mwimbo una ujumbe mkubwa mnoo..mungu azidi kukupigania kwa huduma yako
Kama na wewe umekuja huku sababu ya Ambwene mwasongwe gonga like.
Hallelujah hakika MUNGU akutunze sana kila nikiusikia huu wimbo najikuta nalia sana😭 napata nguvu najiona ni wakipee 🙏
Huu mchungaji wangu Six Bert anaupenda sana ukipigwa Gitaa Bass daah!
Barikiwa sana kwa kutumika vyema kutangaza ufalme wa mbinguni kupitia uimbaji MUNGU aendelee kukutumia sawasawa na mapenzi yake
Mungu awalinde na majaribu ya ujanani Ameen
HUU NI UFUNUO ASHLEY ENDELEA KUNYENYEKEA KWA YESU UTAFIKA MBALI SANA KIHUDUMA
Uko vizuri San kaka
We want more songs from you... And kindly do a live video of this song. God bless you 🎉
Nimebarikiwa sana
Barikiwa sana mtumishi ❤
Dogo Mungu akutunze na atunze maono yako ufike ambapo Dunia haikutegemea
Mungu akubariki mno naupenda sana wimbo huu Mungu akuinue zaid na zaidi ni wimbo ambao unanibariki ❤❤❤❤❤❤❤❤
Shantarebooosalabooozaa
Ohhhhhshantakadaba mooza.ohh Halleluyah niyesu,niyesu.
May the lord bless you mightly oyess .sinajina jinalengi
Ilajinake yesu.
Mighly
Nyimbo hii inaningiza san uweponi mwamungu balkiwa sn kaka yangu
SINA JINA LINGINE NI WEWE YESU TU. MBARIKIWE SANA WAIMBAJI
Shalom shalom, wimbo umebeba ukuu wa Mungu.. God bles u Ashley nassari.
Nina ushauri kidogo kwa upande wa video. kama itawezekana kuirudia video but iwe kwenye location moja na kuandaa kamaa mfumo wa live ivii, ifungwe na taa (lights). Amen
Kila mda, Kila Mara nauskiliza sana huu wimbo , mngu akuinue zaid upande katka viwango vya juu
Sina sina sina😭😭😭😭😭😭😭zaidi yako wewe YESU sina mwingine😭😭😭🙌🧎🏻♀️🙏
Mungu akubariki sana sana kwa wimbo mzuri naamini umejaribu mala nyingi kutoa nyimbo lkn huu wimbo ni mzuri sababu kuu kwa huu wimbo kuwa baraka ni vile ulivyo muimba Yesu ukimuimba Yesu lazima uwabariki watu wa Mungu wengi wanatoa nyimbo ila aziwi baraka sababu wanaimba maneno tu awamtukuzi Yesu bali wananung'unika kwa maneno ya mtaani tu
Ni Yesu Kristo pekee Mwokozi wetu wanadamu.Bwana Yesu akubariki sana Muimbaji was huu wimbo
Nani anabarikiwa na huu wimbo hata sasa❤
Kwakweli huu wimbo nikiusikiliza najawa na roho mtakatifu gafra jamaniii🖐️🖐️🖐️Mungu azidi kukuinuwa kwakweli
Watu tunajazwa roho mtakatifu, tunapona tunapata nguvu kupitia wimbo huu 😫 ubarikiwe mnooo 👏
Lkn video inaupungufu wa shots na locations.
Mungu wng ni wewe baba uwiii hakina hakuna ni Yesu
Nimeisikia hii nyimbo uck SAA Tisa ktk radio nikaona niende u tube mpaka nikuone live... Am blessed much ..
Good sana brother uko vizur sana Mungu azidi kukuinua viwango vya tofauti
Wimbo unagusa Sana mioyo ya watu wengi ninapoimba lazima machozi yanitoke mungu akubariki zaidi
Ongera sana but natamn kujifunza kam ww
Sina jina jingine ila Jina la Yesu Kristo,mwana wa Mungu aliye hai. Yesu ni BWANA.
Jamni ni yesu tuu wala hakuna jina lingne Kaka MUNGU akakupandishe viwango vyajuu mnooo umeimba Jamani mwimbo unaoponya unaokoa unamtoa mtu kutoka sehemu moja kwenda nyingne MUNGU aendelee kukufungulia maono tena makubwaaa tena makubwaaa be blessed much brother ni yesu ni yesu ni yesu Kwakwel MUNGU kanitendea mambo makubwa mnooo kwakuimba tu huu mwimbo kwakumaanisha jamani ni yesu tu
Naiona nguvu ya mungu ndani yakoo ...shetani akupitie mbali na vishawishi vyake uinuke zaid ya hap
🙏🙇Sina jina jingine Ila jina lako YESU
Hakika hakuna jina jingine zaidi ya jina LA YESU jina lipitalo majina yote.
Mtumishi hakika wakati unaufikiria huu wimbo bila Shaka roho mtakatufu alitumika sana. Naupenda sana na unanibariki mno. Mwenyezi Mungu azidi kuionekania kipaji chako Ameni
The only Name Above all names Jesus am trusting you for healing that I may go home and be with my children ..you have never failed
Nimeisikia utukufu wa hii nyimbo ndani yangu na kuipaza saut yangu mbele za bwana, naomba ikamguse kila mwenye hekima ya roho mtakatifu
Sina jina jingine zaidi ya jina la Yesu ni Yesu ni Yesu ni Yesu
Barikiwa ndugu katika kristo wimbo unabariki sana
For he was looking for The City which has foundations, whose builder and maker is God.
And so do we
Kweli sina jina lingine lenye nguvu ni yesu tu. Big up bro
Naupenda mnoo wimbo huu 😘😘👏👏👏umeimba mwanangu na Mungu azidi kukuinua akuepushe na kila kusudi la muovu ukawe mboni la Yesu
Nimeipenda nyimbo hii
Amen
Kweli ni YESU Tu!!! Ndilo jina pekee!
Ushauri tu huu wimbo mzuri sana kama unaweza Fanya live kama kina Paul clement, Dr ipyana itakuwa poa sana
Mungu nimwamini sana nabuka tuki soma copasheni
Sina jina lingine ni Yesuu jina lenye nguvu wow 🥰🥰🥰🥰
Sang this song in the airport when i had fear that they might block my way in, because i ddnt have the return dummy ticket and wasnt even sure of where i was going. The name of Jesus is shapper than any doubled edged sword because he made a way! Now am am comfortable.,all glory belongs to him🙌
I can feel you dear.💪💪💪 Our God is able.
shalom mtumish nataman kujua wewe ni mzaliwa wa wapi
honger Sana Kaka angu nyimbo zako uwazinanibaliki zinatia moyo Sana mungu azidi kukupa maono mapya
Ninaposikia nyimbo hii nahis kusisimka sana na ninamuona roh mtakatifu ndan yangu
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu! Huu wimbo niliusikia mahali ukabaki moyoni nikiuimba sentensi 2 tu! Nimeutafuta sana! Nimeupata nimebarikiwa sana! Very powerful! Wimbo una nguvu sana
Audio ni kali kuliko video.. kama inawezekana rudia video.. but all in all you are good bro.
Ni kwel kabsa ulichosema
kweli kabisa
Agreed, best worship song from TZ
😭😭😭😭😭😭🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Nikiusikiliza huu wimbo yani nauona ukuu wa Mungu wa ajabu jamani, naziona nguvu za Mungu za ajabu . kuna mahali nilikataliwa kabisa ila nilipolililia ilo Jina nilipata kibali. Mungu azidi kukuongeza Ashley maana huu wimbo unanitafakarisha sana ukuu wa Mungu
Ilaaa Yesu wew ni Mungu hakika hakika 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Ubarikiwe sana Mdogo wangu Mungu Azidi kukutumia kwa viwango vya utukufu wake na wewe uzidi kushuka
Like laki tatu hazitoshi. Ngoja tuzipush zifike milioni after a year's presence humu iwe 350k tu!? Aaah!
Tunahitaji live recording ya wimbo huu tafadhali
Daaah! nyimbo ni nzuri sanaaa ila fanya live itakua poa sanaaa broo
Ashley. Mungu akubaliki. , Unaniinua. Imaniiii. ,. Mungu akuzidishie
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu kwa kukubali kutumika kwa viwango hivi. Nabarikiwa sana na huu wimbo. Mungu apewe sifa!!
Nice song kwakweli hatuna Jina lingine zaidi ya Jina la Yesu, Lina nguvu na uwezo wa ajabu be blessed
Jmn nijuag hii saut y mwanamke
Nafurah kukuona kwenye ibada ya leo BMC Shabach praise
Yesu ndilo jinna linaloziddi yotee❤❤❤❤❤
2020 tunaishi naye kweli? Like watoto wa Kristo